Monday, October 10, 2016

NEW FILM; Afande Chacha - Oct 17

STORI / SCRPT; Zainabu Mgomba 
DIRECTOR;  Isihaka mkali
CAMERA MAN; Isihaka mkali
PRODUCER ; Ishaka mkali 
EXECUTIVE PRODUCER; Steps Entertainment

 Ugumu wa maisha mala zote uchangia kumbadilisha maisha laikini pia usije ukamshutumu mtu kwa tabia yake mbaya maana watu hao hao ndio walio sababisha kuwa na tabia mbaya?afande chacha anaweza kufanikiwa kudumisha amani kijijini iliopotezwa na watu waishio maisha magumu kijijini fuatilia kisa hiki

PROMO;
                

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi