Monday, October 3, 2016

Kuna kitu cha kujifunza katika filamu hizi


Hivi ndizo filamu kali ambazo zimeingia sokoni na zingine zinatoka hivi karibuni, Kutana na filamu kama Afande Chacha akiwemo Hemed Suleiman, Riyama Ally, Mzee Majuto, pia kuna DOSARI yupo  Freedom, Brother K, Johari.


Kuna kazi nyingine ya MOJA KUMI NA MOJA, pia yupo Hemedi Suleiman na Riyama Ally, wakati kuna filamu ya KOVU ambayo ameshiriki Mzee Almasi, King Majuto, Irene Maganga, pia kuna NGOMA NGUMU amecheza Dude, Irine Uwoya, Ester Kiama.
Unazikosaje sasa kazi kama hizi.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi