Hii ni filamu mpya ambayo inamrusha kwa mara nyingi, mwigizaji Johari katika tasnia ya Bongo Movies.
Si kukosa, chini ya mtayarishaji na mwigizaji ambaye kwa sasa anatikisa soko la filamu la Mwanza, Edward Kumarija maarufu kama Freedom mtoto wa Mwanza.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi