Meneja Mkurugenzi boss wa wasanii na kundi la Yamoto band, mkubwa na wanawake na TMK wanaume Family, Saidi Fella ametoa shukrani zake kwa wakazi wa Kilungule kwa kumchagua kuwa Diwani wa Kwanza wa kata mpya ya Kilungule.
Nasi BONGOUNIT, tuna mpongeza mwanaharakati huyo wa muziki na meneja wa kwanza wa muziki hapa Tanzania. Hongera Saidi Fella, kazi njema.
Nasi BONGOUNIT, tuna mpongeza mwanaharakati huyo wa muziki na meneja wa kwanza wa muziki hapa Tanzania. Hongera Saidi Fella, kazi njema.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi