Maneno ya Wema Sepetu kwa Lowasa
Hadi Raaaaaaha......... Alafu eti mnasema Babu Mamvi..... Mi natangaza Rasmi... Akichukua nchi Lowaaaa nahama zangu...@mangekimambi_ nakuja hukoooo... Sitopataka hapa Tanzania... Maana Babu Lowaaa atauza nchi... Ufisadi ulivyomjaa... Ila najua Tanzania yangu itakuwa in safe hands atakapoingia Tinga Tinga.... Wapinzani mpoooooo....? Mpaka sasa tunaongozaaaa.... 😂😂😂😂😂 Nicheke mie... Haiya wapinzani mkae karibu na radio zenu mpate kuyajua ya Jembe letu....
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi