KATIKA uhusiano mwanamke ndiyo mchezaji mkubwa kwaajili ya
kumfanya mwanamme aendelee kupenda penzi la mke wake au mchumba wake. Lakini
wapo wanawake wanahisi mapenzi ni ushamba, yaani anafanya kwakuwa yapo afanye,
lakini hajui kama ndio chachu ya kuendeleza uhusiano wake.
Wapo wengine mwanamme anaishi naye kidogo, yaani mara
mwanamme kamchoka anamwacha au anachepuka. Lakini matatizo makubwa yapo
kitandani, na haya miongoni mwa matukio 7 ya awali kabisa ya kuyazingatia
KUWA HARISI ( Don't fake it)
Kuwa harisi kulingana na mwili wako,
usitake kuonekana ni mtu Fulani lakini kumbe haupo hivyo. Unaweza kuvaa nguo za
ndani maalum kwaajili ya kuonekana kuwa unamakalio makubwa, kujichubua
kuonekana mweupe. Mara nyingi mwanamme anapogundua kaongopewa katika maumbile
huwa ni vigumu kuendelea kutimiza ndoto yake ya maisha na mtu wa namna hiyo (2015 Cosmopolitan survey, 67 percent of straight women
have faked an orgasm. )
HAKIKISHA WOTE MNAMALIZA HAJA ZENU. (Ask him to help you finish first.)
Mara nyingi mmanapokuwa katika tukio
katika ulingo wa fundi selemara kuna watu wanajifanya kuchoka kama wakimaliza
mambo yao. Ahhh!! Sio kihivyo, muulize mwenzangu umemaliza, na kama hajamaliza
hakikisha anamaliza ndio mnapumzika. Kuna baadhi ya wanawake wakimaliza hawana
hamu tena ya kuendelea, huenda kwakuwa wamezoeana hivyo hawezi kwenda tena. Hiyo
ni mbaya zaidi kwakuwa mwanamme hana mshipa wa kuendelea kukaa nahamu kwa muda
mrefu zaidi. Hahaha!! Wanasema hata miguno pia inasaidia mwanamme kumaliza
haraka,
( James Deen–like stamina. More from The Stir: New Orgasm Study Is
Oh, Oh, Oh So Troubling for Women)
KUWENI NA MAONGEZI MAZURI MNAPOKUWA FARADHA (Communicate with a positive attitude)
Mnapokuwa katika mambo yetu jitahidi kuongea maneno matamu
mazuri yenye kuvutia hata kama hayaeleweki. Mme wangu wewe ni wangu wa milele,
ukiniacha ntakufa, baby mimi nakuonea wivu, yaani kila aina sifa miguno ndo
usiseme. Yaani wanaume wote duniani wakisifiwa wakiwa kitandani wanakuwa sawa
na mlevi aliyemaliza kleti 3 pombe kali.
Mara wewe mzuri kama malaika, mtamu kama chenza, mzuri kama
miss dunia,.. ntakujengea nyumba, mlima Kilimanjaro ntakukabidhi wewe. Yaani ni
kudeka na miguno isiyoisha, ila usije ukajichanga kusema … oooh, mwizi, mbona
hunipi kama alivyokuwa akinipa Fulani. . "Communication starts with
attitude," says Shannon Chavez, PsyD, a certified sex therapist in
Los Angeles, California)
USIULIZE SWALI JUU YA SWALI ( Don't ask questions that aren't questions.)
Unapofika usiku na unamuona mumeo yupo bize, kutizama mpira,
kuangalia filamu au kwenye kazi ambao wewe unaona anaweza kuifanya hata kesho.
Tumia muda huo kumfuata, acha maswali juu ya maswali kama ‘Unakuja kulala au
huji?” au unamuuliza, “mume wangu vipi
tunafanya mambo leo?”.
Huo ni uzembe! Nenda mfuate kwenye kazi zake, mwambie
aiseee!! Nimezidiwa, unamshika mkono unavuta kwenye kitanda. Akimpata kinganganizi,
anayejua kushawishi, anajikuta kila siku anahamia huko.
5 WEKA MITEGO ( Be a little selfish)
Kabla ya kumvuta
kitandani, hakikisha unajenga mitego, ikiwemo sauti za mitego, mavazi ya
mitego, unatumia macho yako, unatumia mwili wako kuhakikisha jamaa anahamisha
akili yake na kuhamia kwako.
Ila poleni kwa wenye chumba kwaajili ya watoto, ila kama
unanafasi hiyo fanya. Utamuona mumeo anavyowahi kurudi, au kumaliza haja zake
kwako na anapotoka nyumbani huo mweupe. Sababu kinachomfanya mwanamme achepuke
zipo nyingi, lakini kikubwa ni kutomaliza vizuri anaporudi nyumbani. Yaani nusu
anamwaga nusu anabaki nayo.
NENO STAKI USILITUMIE KITANDANI ( Focus on what he that turns you on, not on what turns you off.)
Yaaani mwanammke unatakaiwa kujituma, kila staili mpya
inayotambulishwa unaikubali, kama unahizi haina madhara unamwambie nzuri sana
na aongeze juhudi. Kama inamaumivu mshauri pole pole labda muiboreshe, maana
hata gari bovu pia linatengenezwa sembuse binaadamu.
Staili mbaya ambayo haitakiwi ni kuruka ukuta tu,ambayo sio
mbaya kwa maana mambo ni mbaya kiafya, kimwilili na hata kwa mungu akihitaji
mweleweshe vya kutosha na nukuu za vitabu vya mungu hata vya kukopi kwa
viongozi wa dini kama wewe hujui.
("Communication doesn’t have to start with a negative
such as 'I don't like it when you ... ," says Dr. Chavez, Dr. Chavez says,
"appreciations and compliments are the best form of foreplay."
7. USIPENDE KUWA NA MACHAGUO (Don’t make assumptions)
DMnapokuwa faragha jamaa au mwanamke anaposema anapenda
denda, mpe sio unaanza. Huwa mimi spendagi hiyo, au usininyonye maziwa, bwana
eee usinishike nyele zimetoka saloon hizo.
Yaani hiyo ni mbaya sana maana wanaume wengi wakipewa mipaka
wanaona kama vile bado hawajathaminiwa, ukiulizwa unapenda sema napenda sana
vipi wewe lakini unafurahia?
"Make a
statement like, 'I really enjoy when you give me oral sex but I’m not sure if
you are enjoying it.'" Dr. Chavez suggests.
FURAHIA CHEZEA KILA KITU ( Take on a playful attitude)
Ujinga wa mapenzi mkiwa sehemu faradha hata kama mtu atakuwa
ameingia ndani hamuwezi kujua, hivyo hiyo inaonesha ni jinsi gani akili huwa
zinahama. Basi mwanamme usiogope kumpapasa mwenzako popote, kuhakikisha anapata
msisimko.
Chekelea furahia kwakuwa mapenzi sio vita, basi onesha ni
jinsi gani unavyofurahia sio majibu ya mkato. Unaulizwa umetosheka nawe
unamuuliza kwani wewe vipi? Yaani kama umeuliza kumeza dawa uanvyokunja uso.
. "Have fun when talking about sex by being playful,
letting yourself explore, and be in the moment," says Dr. Chavez.
MAWASILIANO YA MACHO (Make eye contact)
Ujue macho yanaongea zaidi kile kilicho
moyoni, yaani hakikisha macho yako yanalegea na kumvuta mwanamme. Hakikisha kabla
au baada ya kufanya mambo yenu, unahakikisha macho yako yanaonesha furahaa
furani.
Hayo ni machache katika mengi.


No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi