Wakati malumbano kwa viongozi wa kisiasa yakiendelea katika viwanja vya kampeni, nako wasanii wameendelea kupigana vijembe na kujibizana kupitia mitandao ya kijamii ilimradi kila mmoja avutie upande wake.
baada ya hivi karibuni mwigizaji Jacline Wolper kusema kwamba hajakutana na Lowasa barabarani, na huku akiwashutumu wasanii wenzake kununuliwa katika chama tawala.
Mwigizaji mwenzake mwenye machachali, Aunt Ezekiel amejibu mashambulizi hayo kwa kusema

Wolper kasambaza uongo tumenunuliwa, mbona hasemi alipewa ngapi aje kutununua kwenda UKAWA. Sio kila kitu ni cha kufanyia usanii jamani.

Aunt Ezekiel
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi