Monday, September 14, 2015

Mpigakwata wa Buguruni aongezewa tangazo

Mpiga Kwata maarufu jijini Dar es saalam Maeneo ya Buguruni akiwa na bango lake la ukawa, hivi karibuniameongezewa bango lingine kwa pembeni yake.
Mpiga kwata huyo ambaye kazi yake kukikmbiamchaka mchaka kutwa nzima, ameongezewa bango karibu yake la chama kingine.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi