Wednesday, September 23, 2015

Drookie Maik mkali alikimbia sheria kusomea muziki


Kwasasa muziki umegeuka biashara hapa nchi, Kijana Brookie Maik aliamua kuikacha elimu ya kusomea sheria ambayo wazazi wake waliamua kumpangia na hatmaye amejikita zaidi katika kusomea Act and Music Perfomance kwaajili ya kuonesha uwezo wak na kipaji chake katika fani hiyo.
Ilikuwa ngumu kwa wazazi kumuelewa kwanini aliamua kusomea muziki na sanaa ya uigizaji hadi akitamani zaidi siku moja awe mtayarishaji mkubwa, lakini kwa sasa wameanza kumuelewa baada ya kazi yake ya kwanza kumfanya kutumbuiza katika kundi la watu wengi katika moja ya matamasha makubwa apa nchini la Zanzibar International Film Festival maarufu kama tamasha la majahazi (ZIFF).


Lakini kikubwa amesema tayari ameshaanza kazi zake mwenyewe chini yauangalizi wa kituo cha mkubwa na wanawe, katika uongozi wa Saidi Fella na Meneja Chambuzo.


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi