Wananchi ambao hawamtakii mema mwanamuziki Diamond Plutnam wameendelea kumsakama kila kukicha
·
diamondplatnumzATTENTION: Kuna account Feki ambayo
inatumia jina langu ina aandika habari za Uchochezi na Matusi hiyo account ya
Facebook SIO YANGU, ACCOUNT YANGU IPO VERIFIED NA INA TIKI YA BLUE NA INA LIKES
772.5K... shukran 🙏
lakini kwa upande wa mchekeshaji Stan Bakora yeye amefanikiwa kuirudisha account yake ya Instagram ambayo ili hug (Ilitekwa ) na watu ambao hakuwafahamu

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi