Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond Plutnam, anatarajia kufanya kazi na wakongwe wa muziki wa kizazi kipya akiwa Prof Jay na P Funk. Na hivi ndivyo alivyosema..... 'Ninapopata
Bahati ya kufanya
Nyimbo na wakubwa zangu ambao nilikuwa nikiwasikia
tangu nawaza Nitoke vipi, hadi leo kupata Fursa kushiriki nao... Hunipa
Faraja sana na moyo wa kujituma zaidi....Get ready Kwa hii kitu'
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi