Wednesday, December 11, 2013

Safari zangu ni za kikazi@Chuchu Hansi



MWIGIZAJI  wa filamu nchini, Chuchu Hansi amesema safari zake za India na Burundi zilikuwa kwaajili ya kazi zake binafsi na si za filamu.

Akizungumza na Bongo Unit, alisema safari hizo alitumia kwa muda wa wiki mbili, kwaajili ya kibiashara ili kuweka mambo yake safi wakati atakapokuwa kwenye tasnia ya filamu.

Alisema hata hivyo baada ya kurudi,  alifikia kufanya filamu ya  Vicent Kigosi ‘Ray’, ambayo ameimaliza siku si nyingi.

“Nilikuwa kwenye safari zangu za kimaisha na kazi zangu na sikuwa huko kwaajili ya filamu” alisema.


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi