Wednesday, December 11, 2013

Godzilla May 2014 yaiva @ Angalia picha hapa

Huu ndio ujio wa filamu mpya ya Godzilla mwaka 2014, filamu ambayo inakuja baada ya kutoka kwa ile iliyotikisa sana ya Godzilla 1.
Katika filamu hii, imeongozwa na waigizaji mashuhuru kutoka Hollywood, Bryan Cranston, Aaron Taylor-Johnson and Elizabeth Olsen.







No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi