MWIGIZAJI wa filamu nchini Illuminate Posh ‘Dotnata’
amesema ataendelea kufanya filamu za mapambano, kwakuwa soko linahitaji
mabadiliko zaidi.
Akizungumzia hali hiyo alisema baada ya kufanya vizuri
sokoni kwa filamu
yake ya Bongo Mafia, sasa hivi ameshakamilisha filamu ya Jani kavu.
Filamu zake kwa sasa anasema atakuwa akiigiza yale matukio harisi ambayo yamekuwa
yakiikumba jamii, na kupunguza idadi ya filamu za mapenzi ambazo zimekuwa
nyingi.
“Wasanii
wote wamekuwa wakifanya filamu za aina moja, lakini mimi nafanya filamu tofauti
tena zenye uharisi” alisema.
Katika
filamu hiyo, yupo yupo bingwa wa kickboxer upande wa wanaume Japhet Kaseba,
kickboxer upande wa wanawake Pendo Njau.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi