Wakati wachezaji wa nyumbani
Tanzania, wakiendelea na migogoro na timu zao na hata kutimua makocha, Shirikisho
la mpira wa miguu barani Afrika CAF
limetangaza majina ya wachezaji wa kiafrika watakaowania tuzo ya mchezaji bora
wa Afrika kwa mwaka 2013.
Pia ametangaza Mchezaji bora wa
Afrika anayechezea vilabu vya ndani ya Afrika kwa mwaka 2013.
Katika taarifa ya CAF, majina hayo yapo majina mawili ya wachezaji
wanaotoka Afrika Mashariki ambao ni Victor Wanyama raia wa Kenya anachezea
Southampton FC ya England ambaye ni miongoni mwa wachezaji 25 watakaowania tuzo
ya Mchezaji bora wa Afrika.
Na Mbwana Samatta raia wa Tanzania
anayechezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yeye
ameteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika anayechezea timu za Afrika.
Victor Wanya


No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi