Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Stamina 'Kabwela' amesema anatarajia kuachia wimbo wake mpya baada ya kuusimamisha ule ambao ulivuja kupitia katika mitandao ya kijamiii.
Stamina anasema wimbo wake wa Mngekuwepo aliomshirikisha Criss ulitoka kimakosa na mtu ambaye hakumjua, hivyo ameomba radhi mashabiki wake ambao wamepata usumbufu kwakuwa wimbo uliotoka ulibidi kuwepo kwenye albamu yake mpya ijayo.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi