Mwigizaji nyota wa filamu ya Mandela ya Idris Elba, anatarajiwa
kuwa kivutio kikubwa katika tuzo za Osca,
litakalofanyika Newyork na Los Angel, Marekani Nov 29 mwaka huu.
Hivi unajua raisi Rais
wa Marekani Baraka Obama, ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika Luninga kubwa ya ikulu ya
White House, katika uzinduzi wa filamu Mandela; Long Walk to Freedom, inayozungumzia maisha ya aliyekuwa raisi wa Afrika kusini aliyepambana
na ubaguzi wa rangi.
Katika uzinduzi huo
pia udhuriwa na mkurugenzi wa
filamu hiyo, Justin Chadwick, mwigizaji
aliyeigiza kama Mandela, Idris Elba, na
wenzake Pres na Naomie Harris,
mtengenezaji wa filamu hiyo, Harvey Weinstein, pamoja na binti Mandela Zindzi na Zenami.
"Kujua nini uhusiano wa Rais Obama na Rais Mandela, ni heshima kwa ajili ya filamu hii
kuonyeshwa katika White House," Weinstein alisema katika taarifa.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi