Ushauri wangu kwa mdogo wangu Jide a.k.a cobra. Huu ni mtazamo wangu jamani
Nakushauri acha malumbano na kaka zako, shukuru mungu kwa hicho walichokusaidia
Ukumbuke ulikotoka.
Nakushauri acha malumbano na kaka zako, shukuru mungu kwa hicho walichokusaidia
Ukumbuke ulikotoka.
Ebu mwimbie mungu wako aliyekupa sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni, hivi hebu siku moja wakusikie umemrudia mungu na bendi yako iendelee kutumbuiza nyimbo za mungu
Utapata mialiko mingapi? Utaokoa roho za watu wengi.
Hakuna nyimbo zinazoongoza kwa mauzo kama nyimbo za mungu, rudi kwa mungu wako. Nimesikia nyimbo yako juzi ya mwacheni mungu aitwe
mungu. Ingawa si yote lakini ilinibariki, Ukiona njia moja imebana ujue
mungu Anakutafuta ufanye huduma yake. Ubarikiwe.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi