Kampuni ya Tip Top Connection, wamesema wataendelea na usaili wao wa kutafuta wasanii watakao jiunga na kampuni hiyo katika upande wa filamu.
Mananger Production wa kampuni hiyo Sajent alisema kwamba fomu za kufanyia usaili inapatikana kwa shilingi 3000. Alisema fedha hizo ni kwaajili ya kusaidia kuchapa karatasi ambazo watakuwa wanaja kama fomu na wala si kwaajili ya matumizi mengine.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi