Mkurugenzi wa ASET Entertaiment wamiliki wa Bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka, juzi alifanya hitima maalum kwaajili ya wasanii wote wa muziki na uigizaji wa Tanzania. Asha alifanya shughuli hiyo katika ofisi yake iliyopo Kinondoni, ambapo kisomo hicho hakikubagua dini wala kabila la mtu.
Wakina mama wakiwa kwenye hitima
Kibosho wa Twanga Pepeta akipiga msosi
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi