Monday, January 28, 2013

Dj Choka kukamua Press Play

Mwanamuziki ni Dj maarufu hapa nchini Dj Choka amekamilisha uchukuaji wa picha ya video ya wimbo wake mpya wa Press Play. Choka anasema wapenzi wa kazi zake wote, anawaomba mkae mkao wa kura kwa kitu hicho kikali kuliko.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi