Wednesday, January 16, 2013

Ney wamchokoza Makabulini

Mwanamuziki ambaye amekuwa mwiba kwa wasanii wa tasnia ya filamu, Ney Wa Mitego ameshaanza kushoot video yake maeneo ya Makabulini katika wimbo wake mpya wa Wamenichokoza. Hivi karibuni video hiyo ilianza kushootiwa na kuomba mashabiki wake wakae mkao wa kura kwani ujio huu anaamini utakuwa mkali zaidi

Ney akiwa na mazombi.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi