Nyota wa
muziki wakizazi kipya aliyetwaa taji hivi karibuni la Epiq Bongo Star Search ‘EBSS’
Walter Chilambo, amesema tayari ameshakamilisha sualala watu wa kusimamia kazi
zake, na sasa anajiandaa kwa nyimbo zake mpya ili kuweza kutoa shukrani kwa
waliompigia kura.
Akizungumza
na mwandishi alisema hivi sasa anashindwa kuzungukamikoaniani kutoa shukrani
sababu anajua ataimba nyimbo zile zile za watu, ambazo tayari alishaziimba jukwaani wakati wa EBSS.
Alisema kwa
sasa anafikiria zaidi kutoka na nyimbo zake akiwa yeye kama yeye, ilikuwez
kufikisha shukrani zake akiwa kama yeye.
“Ninaandaa
nyimbo nyingi kwaajili ya shukrani zangu kwa watu ambao wamenipigia kura”
alisema.
Mwanamuziki
huyoamesema kwa sasa tayari ameshapata uongozi kwaajili ya kazi zake, na yupo
katika maandalizi ya kazi hizo.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi