MWIGIZAJI wa kike nchini, Aunt Ezekiel amesema anaamini
ndoa yake haitotetereka kwa kuja kuishi Dar es salaam kwani ni sehemu yake ya
kazi na Dubai kwaajili ya maisha yake ni
mumewe .
Aunt alisema
hayo siku chache baada ya kushuka nchini akitokea Dubai, na kusema atafanya kazi zake
za filamu hapa nchini baada ya hapo
ataondoka kwa mumewe Dubai.
“Nitakuwa hapa kwaajili ya kazi, na baada ya
kazi zangu nakwenda Dubai na wala hakuna kitakachoteteresha ndoa yangu”
alisema.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi