Tanzania kuna wasanii wachache wa kike tofuti na nchi zetu za jirani, sio kwamba vipaji
hamna nikiwa kama msichana nahitaji sana sapoti yako ili kunikomboa na
kuwakomboa wasichana wenzangu ambao wanavipaji ila bado hawajaona mwanga
wao.
Naombeni mnipokee kama mdogo wenu kwenye gemu kwani nahitaji kujifunza kupitia kwenu ili ndoto zangu zitimie naomba pia wadau wa muziki mtizame kipaji changu na kunisaidia ili nifike mbali na niitangaze nchi yangu kimataifa .Mbali na kuimba naweza kudance/ kucheza vizuri sana ndio nilichojivunia na ninamshukuru mungu kwa kunipa uwezo wa kutawala jukwaa bila aibu. Tembelea link hii hapa kwa kuangalia video

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi