Juma mosi ilikuwa ni siku ya furaha kwa msanii wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel kwaajili ya kukamilisha shughuli zake za harusi kwa kukamilisha kwa Send Off katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam baada ya harusi iliyofanyika nyumbani kwake Mwananyamala kwa siri.
Hali iliyokuwa kuwa tofauti na sherehe zingine mwigizaji ghuyoalikuwa akibadili nguo...
kila baada ya muda fulani na kupelekea kubadili nguo zaidi ya mara tatu tena zote zikiwa za ghalama. Sherehe hizo zote zilifanyika chini ya DOTNATA CATERING & DECORATION SERVICS
| Maya wakati akizirudi, wakati huyo nyuma yake mama Dotnata akiangalia. |
| Aunt Ezekiel akiwa na wasimamizi wake |
| Wema Seopetu akiwa na Jackline Wolper |
| Keki ya Send Off |
| Aunt akikabidhi keki kwa wazazi |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi