Warembo mbalimbali walijitokeza katika kuwania ulimbwende wa Miss Redd's Kinondoni 2012, iliyofanyika katika Hoteli ya JB Bolmonte ndani ya jengola Benjamini Mkapa Tower, ikiwa chini ya Perfect Lady Classic Saloon, ambapo walipamba na baadaye kushusha burudani ya kinyanyiro hicho.
Mkurugenzi wa Saloon ya Perfect Lady, Ester Kiama akiwa na washirikiwa urembo na wapambazi wake kabla ya kuanza kwa tamasha.
Nani alikwambia warembo hawawezi kudansi.Hebu ingia ndani na uone zaidi
Mkurugenzi wa Saloon ya Perfect Lady, Ester Kiama akiwa na washirikiwa urembo na wapambazi wake kabla ya kuanza kwa tamasha.
Nani alikwambia warembo hawawezi kudansi.Hebu ingia ndani na uone zaidi
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi