Mwanamuziki ambaye alitamba katika muziki wa kizazi kipya, Seleman Msindi maarufu kama Afande Selle, tayari magazeti ya udaku yameshaanza kumwingizia changa kitumbura chake cha kuwania Ubunge mwaka 2015, kwa kuzichapisha zile picha za matukio yake aliyofanya kipindi cha nyuma. Matukio hayo yameendelea kuwa moto kutokana kwamba yamekuwa tatizo hasa katika kuwania kwake Ubunge wa Morogoro Mjini.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi