Wednesday, September 5, 2012

Bongo Unit inalaani kifo cha R.I.P Mwangosi


 Pindi nilipopata taarifa hii, nilijikuta nikipatwa na mshituko kiasi cha kushindwa kuendelea kuangalia, lakini ikanilazim sababu jamaa namjua ingawa si sana. Ila nilichoogopa zaidi kwakuwa mimi ni miongoni mwa Waandishi, tukio kama hili linaonyesha wazi ni jinsi gani usalama wetu upo njia panda.... Ndugu Daud Mwangozi kalale mahala pema peponi...Amennn
Mungu Tulinde na Tanzania yetu.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi