| Mwigizaji Sajuki anasema kwa sasa hali yake inaendelea vizuri, ingawa bado anaendelea na matatibabu. amesema anashukuu sana watanzania na wasanii wenzake ambaowamemsaidia mapaka kufika pale, lakini kubwa ambalo alikuwa akiongea ni kuhusu kiongozi mkubwa wa nchi hii alipokuja kumtembelea na kutaka kumpa masaada huku akimuuliza, Hivi Wewe ni Bongo Movie au TAFU? Jambo ambalo anasema lilimshangaza na kusema kama utanipa msaada nipe, lakini sitaki kuulizwa kuhusu habari za Bongo Movie na Tafu, kwakuwa hali yake haikuwa mzuri. | | |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi