Thursday, August 16, 2012

Harufu ya bifu la Tunda man na Adam Juma

 Tetesi ambazo kwa sasa zinakula vichwa vya watu kwamba msanii wa muziki wa kizazi kipya, Tunda Man ameingia kwenye bifu jipya na mkali kutoka Visual arab mzee wa Next Level, Adam Juma kisa mwanamuziki huyo kuikosoa video yake mpya ambayo Adam aliitengeneza.  Habari zinasema kwamba baada ya kuikamilisha wimboya DEMU SIO huo ambao umejaa wasanii  kibao wa Bongo Fleva akiwemo Lulu, Wolper,Joti,  Diamond, Dude, Shilole na wengine kibao lakini video hiyoinasadikiwa kwamba Tunda Man hakupenda kiwango ambacho kimefikiwa. Mwisho zaidi nasikia msanii huyo ikabidi amchane mkuu wa Next Level kwamba video hiyo haikuwa nzuri, na sasa anaenda kuirudia kwa APEX (Tayari imesharudiwa juzi), jambo ambalo mkuu wa Next Level lilimuudhi sana.
Adam Juma wa Next Level.....Video yenyewe ni hii, hebu angali Bongo Movie

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi