Saturday, August 4, 2012

Get out ya Stive yakamilika kwa mtindo wa kipekee

Filamu mpya ya Stive Nyerere ya Get Out leo imeisha uchukuaji wake katika hoteli moja ya jijini Dar es salaam maeneo ya Kawe. Stive alisema kwa sasa ataingiamapumziko kabla ya kujua kitu anatarajia kufanya juu ya kufanya kazi zingine,ambapo mwaka huu anataka amalizie hizo filamu nne aweza kupumzika mpaka mwakani, na kati ya hizo nne tayari ameshakamilisha mbili ikewemo Long Time na hii Get Out
Usione hivi, hapa kuna shehe Juma 'Mr Kupa',shekhe Idrisa Chopa wa mchoapanga na shere Alii, wakipata mlo katikauchukuaji wa filamu hiyo leo.
mchukuaji  picha maarufu hapa jiji, Faridi Uwezo kutoka katika kampuni ya Uwezo Production
Mr Kupa akipitia gazeti
Stive Nyerere akioga pamoja na Sinta, na pembeni yake Batuli
Stive Nyerere na Batuli
Mastaa wa filamu ya Get Out ambao wamekuwa wakifanya mambo ya ajabu kwenye filamu hiyo, wa kwanza kulia Shemsa Ford, Sinta na Batuli
Hapa ndipo tulipopimana iman kwenye mwezi huu, kidochu ninge....

Faridi uwezo na Saguda wakifanya kazi
Sinta katika kazi mpya


mambo yamekuwa mambo

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi