Tuesday, August 7, 2012

Candy aomba kupigiwa kura

Mwanamuziki Candy Califonia anasema kwa sasa anatarajiwa kuwa Super nyota wa Fiesta, lakini sio kirahisi bali anaomba aweze kufanikisha kwa hilo kwa kupigiwa kura. Anasema anamba yake ya ushiriki ni namba 10,  ambayo unaandika neno FIESTA na kutuma kwenye namba 15678 na kumwezesha kuwa miongoni mwa washindi wa kushiriki tamasha la Fiesta mwaka huu, dau ni shilingi 50.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi