| Wasanii wa filamu wakiwa wamekusanyika Leaders Club kabla ya kuelekea Msasani kwa mama Maria Nyerere |
| Wasanii wakiwa nyumbani kwa mama Maria Nyerere Msasani |
| Mama Maria Nyerere akisalimiana na Hatman kutoka Bongo Movie |
| Mama Maria Nyerere alipokutana na Stive Nyerereikawa full vicheko |
| Jb akisalimiana na mama Maria Nyerere |
| Ukafika muda wa kilamsanii kujitambulisha |
| Kisha akakabidhiwa filamu na STEPS ENTERTAIMENT |
| Mama Maria akiangalia Caver la filamu ya MWALIMU NYERERE |
| Hapa akionyesha Movies, zinazotolewa na STEPS ENTERTAIMENT |
| Zaidi ya filamupia walimpa zawadi ya Vitenge kutoka kwa waigizaji wa kike |
| Kambalage kutoka STEPS ENTERTEIMENT alimuongezea Cd zingine za filamu |
| Wasanii kidogo walipata kitu dawa kutoka kwa mama |
| Hapa akitoa shukrani zake |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi