Saturday, July 14, 2012

Wanamablog wapewa elimu juu ya TIGO INTERNET MEGA BOKSI

Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo, jana iliitisha hafla ndogo ya wamiliki wa Blog mbalimbali nchini, ili waweze kufahamiana na kuweka ushirikiano mzuri katika utendeji kazi wa kampuni hizo na wamiliki hao wa Blog. Aidha pia kampuni hiyo ilitumia fulsa hiyo kuitangaza huduma yao mpya ya Internet inayojulikana kama TIGO INTERNET MEGA BOKSI, ambayo itakuwa ikitoa ofa mbalimbali kwa watumiaji wake. Miongoni mwa offa ambazo zuitakuwa zikitokana na utumiaji huo wa Internet ni kuchati na kuperuzi blogi na mitandao mingine ni bule kama utakuwa na kifurushi hicho,kiwe kimetumika chote au kama bado hakijaisha ilimradi muda uliojiunga uwe bado haujaisha, jambo ambali kwa wengine hakuna.   Pia unaweza ku download kitabu au kitu chochote kwa gharama nafuu,na kulingana na ukumbwa wa kazi zako ikianzia shilingi mia tano kwa siku. wakati huo unaweza kutumia Email, bule wakati ukitaka kudownload utatozwa fedha kidogo, huku ukitumia spidi kubwa katika kufanya kazi zako

Mmiliki wa Blog ya Fasion kushoto akiwa na Mike mmiliki wa blog ya Jamii Foroum

Beda Msimbe kulia mmiliki wa Blogg ya Lukwangule, akiwa na Samiir wa Tigo pamoja na Basili

Watu kutoka Tigo wakieleza faida mbalimbali za kutumia mtandao wa TIGO






Titus Kafuma akieleza jinsi TIGO INTERNET MEGA BOKSI, inavyoweza kufanya kazi na kukufanya uwe wa kisasa.

Mwisho wa siku naye MOHAMED M GOMESA kutoka Blog yako, Blog ya kipekee kwa stori sahihi za wasanii ya WWW.BONGOUNIT.BLOGSPOT.COM ambayo inajulikana kama (Voice of artist) akipata msosi.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi