Saturday, July 14, 2012

Royal College yasherekea New Intake

Wanafunzi wa Chuo cha Royal College of Tanzania (Chuo cha Uandishi na utangazaji) Kilichopo Ubungo nyuma ya Kituo cha polisi,  jana walikuwa wakisherekea sherehe ya New Intake, pia walikuwa wakisherekea  kuingia kwa uongozi mpya wa chuo hicho chini ya raisi wa chuo  Petter Willium, ambaye kwa sasa ndiyo atakuwa akiongoza serikali ya Chuo hicho. Sherehe ilifanyika maeneo ya nyuma ya Ubungo Plaza, ambapo iliudhiliwa na viongozi mbalimbali wa chuoni hapo, pamoja na wanafunzi mbalimbali





Rais mpya wa Royal College Peter Willium








No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi