Friday, July 6, 2012

Solo Than amwimbia Miss Tanzania

Mwanamuziki Solo Than, ambaye anafanya kazi zake nje ya nchi huko Dublin katika nchi ya Irend bara la Uraya, amekamilisha kitu kipya kinachokwenda kwa jina la Miss Tanzania katika studio ya Tongwe Rec chini ya J Ryder.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi