Friday, July 6, 2012

Kitimtim cha Bongo Movie na Bongo Fleva matokeo tayari

Wakati wasanii mbalimbali ambao wanaunda kundi la muziki maarufu kama Bongo Fleva na wale wa filamu wanaojulikana sana kwa jina la Bongo Movie wakijiandaa na mpambano mkali katika Uwanja wa Taifa wa mpira uliopo Dar es salaam, siku ya Saba saba katikaTamasha la Tumaini, hali imeshaanza kuwatisha baadhi ya wasanii katikamakundi yao. Wapo ambao wamepoteza tumaini kwakuwa hawawaoni wasanii wenzao ambao wamekuwa wakiwategemea katika michezo yao, na wapo ambao wanasikia wasanii wenzao siku hiyo watakuwa na show sehemu mbalimbali hao ni katiya wale wa Bongo Fleva, lakini Bongo Movie wanatamani kuwaona wasanii wa Bongo Fleva wote wakiwemo na kuwatia aibu kama wao walivyotiwa aibu kwa kupigwa  2-0 katika kuchangia waathirika wa Mabomu wa Gongolamboto. Kilammoja na hamu yake, ila wengine hofu ya kutoneshwa vidonda kwa kupigwa magoli mengine na kuyarudia matokeo ya mwanzo

Cloud akifuatilia mazoezi
Jb haamini kamasiku hiyo itakuwaje

H Baba naye anataka kuwaonyesha kama yeye atabaki kama mfungaji bora, anazitamani nyavu za Bongo Movie ingawa mpenzi wake Flora ni Bongo Movie

Ispector Haroon aka Babu alikuwa akilala mika hawataki kumpa namba, sijui naye atakuwa na lipi lakusema siku ya juma mosi.
K. r mzee wa kazi, yeye muda wote nimtu wa mazoezi na ndiye mbunifu wa staili ya Panga ya Tmk

Mr Simple wa 69 Record pale ThT, sasa haya sijui ndiyomazoezi gani

Kocha wanamwita Chiki Mchome, akitoka ndani ya uwanja.
Ufupi sio mpira mpira upo mguuni, Stive Nyerere akisakata kabumbu wakati wa mazoezi.

Amini anasema THT siokuimba, hata katika mpira

Rich One akishangaa baada ya kutoamini kama wamefika wachache, harafu wenzao wapo wengiii


Streeka Nteze


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi