Monday, July 16, 2012

Madiwani Mwanza watunukiwa simu na EBSS 2012

Mwana Sajid Khan afisa biashara Mkuu wa Zantel akikabidhi simu kwa mmoja wa Madiwani wa jiji la Mwanza
Sajid Khan Afisa Biashara Mkuu na Deepak Gupta Mkurugenzi wa masoko kutoka Zantel wakiwa na Wilson Kabwe (aliyesimama) Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza akiongea na Madiwani wa Mwanza.


Mshiriki namba 4969 akiimba wimbo kwenye simu yake mbele ya majaji

Samson Samuel akihuzunika baada ya kuambiwa hatajatimiza viwango vya kurudi siku ya pili



No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi