| Ndugu
wadau wa Blog pekee ya filamu na muziki inayokuletea mambo ambayo ulikuwa huyaju ya BONGO UNIT. kwa sasa itakuwa ikitumia Logo hii hapo juu, ambayo itatumika kama alama ya blog. Pindi
ukiona Nembo hiyo, ujue ni Blog yako ya pekee, ambayo unaweza kuitumia katika kazi zako za kisanii bila ya woga ni WWW. BONGOUNIT.BLOGSPOT.COM na kazi zako unaweza kutuma kupitia gomesawa3@yahoo.com . Katika log kuna alama inayoashiria HEAD
PHONE ambayo inawakilisha muziki, pia kuna CINEMA TAPE ambayo inaashiria filamu / Movie. Kuwa wa kwanza ndani ya BONGO UNIT. Pia jiandae
kukumwagia stori na matukio yote yanayohusiana na wasanii wa filamu na
muziki, wakiwa wanajibu au kukanusha kauli mbalimbali ambazo zinakuwa
zikisikika kwa wadau yaani pembezoni au magazetini. Kazi njema By
Mohamed M. Gomesa. |
|
|
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi