Tuesday, July 3, 2012

Epiq Bongo Star Search na mkao wa kura wa Dar es salaam

Mshikeshike wa Epiq Bongo Star Search unazidi kuwa mkubwa kadri siku zinavyozidi kwenda, na tayari washiriki wameaanza kupatikana kwaajili ya kupamba vikali jijini Dar essalaam zilizoambatanishwa na meseji hii zilizopatikana kwenye usahili wa Epiq Bongo Star Search uliofanyika Lindi leo. Maelezo ya picha yanapatikana kwenye excel sheet ilioambatanishwa na meseji hii pia maelezo yanapatikana kwenye Word document ilioambatanishwa na hii meseji. Jana jioni majaji wa Epiq Bongo Star search walialikwa kweye mashindano ya Miss Lindi 2012, picha hizo zimeambatanishwa na meseji hii.Vitu muhimu vya kukumbuka jioni ya leo ni usahili mkoa wa Lindi umeisha rasmi jioni hii. Washiriki watano watakaoiwakilisha Lindi wamepatikana. Pia leo tumeshughudia washiriki wengi wakilia wengine kwa furaha na wengine kwa huzuni. Wikendi ijayo tutakuwa Arusha Club Triple a kwa ajili ya usahili Julai 7 na 8.

Mawazo na michango yenu yanahitajika katika kuendeleza uhusiano mzuri na katika kupata taarifa/picha bora zaidi. Kama utapenda tuongeze anuani ya barua pepe ili kupata taarifa zitakazo kuwa zinatumwa, tafadhali ongeza anuani hiyo na ujibu barua pepe hii ukiweka majina na wadua wengine wa habari.








No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi