Thursday, June 7, 2012

The Long Story kuja na vituko vyake

Filamu mpya ya The Long Story inatajia kuja kufanya maajabu mapya kwenye tasnia ya filamu kwa kujaa vichekesho na kila aina ya Utundu. Filamu hiyo kama kawaida kuna mtu mzima Barafu, Chuchu Hansi, Riyama, pamoja na mama Mwajuma ambaye  ndiye mmiliki wa kampuni inayotengeneza filamu hiyo ya Mama Mwajuma Video Production. Wakati huo kamera man na Editor  wa filamu hiyo, ni kijana mdogo machachari anayekuja kwa kasi ni Jeff, wakati Director wake ni Awadhi Jumbe.... Ukiambiwa kuigiza raha, hebu anagalia hapo juu, kisha endelea kupata picha zaidi ndani ya BONGO UNIT




Bongo Unit inapiga picha hata ukiingia chooni.

Mr Camera man Jeff
Mama Mwajuma akiwa Director Awadhi, wakati akisomewa Script huku yeye akijipamba kwa nywele.


Riyama Ali kulia akiwa na Chuchu Hansi
wawa
Asikwambie mtu eti mganga hajigangi....

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi