|
Jina lake halisi ni Saul John ila
anafahamika zaidi kwa jina la Ferguson. Ni repa mahili wa muziki wa dansi na
ndio mtunzi wa rap ya kisigino ya Twanga pepeta kabla ya kutimkia Extra Bongo
na sasa amekula shavu katika bendi tajiri hapa bongo ya Mashujaa musica.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi