“Hiii
ni semina ya kuwekana sawa tu kwa kuwa hili shindano lipo kwa muda mrefu na
majaji mmekuwa mkifanya vema, kwa niaba ya BASATA napenda kuchukua muda huu
kuwataka muwe makini katika kuzingatia maadili haya niliyoyasema na hata mengine
pia”alisema Mashili. Naye
Mkurugenzi wa Berchmark Production inayoandaa shindano hilo Ritha Paulsen
alisema kuwa semina hiyo ni muhimu kwa majaji kwa kuwa muda mzuri wa kukumbushana mambo muhimu
yahusuyo muziki.
Epiq
Bongo Star Search mwaka huu inaanzia mkoani Dodoma Juni 16 katika ukumbi wa
Royal Village. Majaji
wa shindano hilo waliohudhuria ni pamoja na Jaji Mkuu Ritha Paulsen, Master
Jay, Salama pamoja na mratibu wa EBSS
kutoka Basata Vicky Temu.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi