Thursday, May 31, 2012

Video ya H. Namba yaendelea kusukwa

Mwanamuziki wa kizazi kipya maarufu kwa jina la H. Namba leo alikuwa aki shoot video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Konda kondakta. Msanii huyo kutokana katika kundi la Mkubwa na wanawe, alisema kwamba kwa sasa anajipanga sana katika kumalizia video hiyo,kwakuwa lengo lake ni kufanya video iwe ya kisasa na bora kwa kuonyesha vitu vya uharisia.
Makonda wanapopandwa na mzuka, na kuvamia jahazi kisha kucheza

Msanii Hassan Kumbi
Wengine wakiwa ndani ya suti.

Meneja Yusuph akimfutafuta msanii wake

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi