Mchezaji wa timu ya Simba Fc Patrick Mafisango,amefariki dunia alfajiri baada ya kupata ajali ya gari alilokua anaendesha. Mchezaji huyo ambaye ni raia wa
Rwanda mwenye asili ya Congo, alikua anakwepa baiskeli mitaa ya
Chang’ombe jijini Dar es salaam na ndipo akaingia kwenye Mtaro na gari
na kufariki papo hapo.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahara pema peponi ...Amen
|