| Siku ya jumapili wasanii walifanya misa kwaajili ya kumuombea msanii mwenzao Steven Kanumba, ambaye aliacha pengo kubwa sana kwenye tasnia hiyo. Wasanii walianza kwanza kanisani ambapo ilisomwa misa ya waafu pia wakafika mpaka kabulini ambapo walimuombea marehemu pamoja na kupanda msalaba na kisha wakaenda kwenye kituo cha watoto yatima ambapo alitoa zawadi mbalimbali kama alivyofanya marehemu mwenyewe,mwisho walimalizia nyumbani kwake alipokuwa anaishi kwa kutoa kidogo sadaka ya chakula kwa wale waliodhuria hapo nyumbani. |