Saturday, May 5, 2012

Haki sawa hadi kwa wanyama...

Huyu jamaa toka pande za hukoo kwao, aliamua kutekeleza haki za wanyama kwa siku moja moja na yeye kumbeba Punda wake ambaye anamtumia kwa usafiri na kumbeba. Kama ilivyokuwa kwa mama zetu na dada zetu kutaka haki sawa, na wanyama  pia inabidi ufanye haki sawa kwao. Akikubeba kilometa tisa,nawe unambeba kilometa hizo hizo, sasa kazi kwako. Ukimchinga kuku, au mbuzi  sikukuu ya Idd au pasaka mwaka huu, mwakani Zamu yako...... Mpaka mjirekebishe kutesa wanyama.... Unachezea sheria wewe?