| Mwanamuziki ambaye kibonge na mwenye mtindo wake wa kipekee pindi anapokuwa jukwaani yaani lazima atafute sehemu na kukaa ndipo anapoimba vizuri hapoa anaweza kukaa hata juu ya spika, Bacdad amesema mahakama ya mwanzo juzi imemruhusu rasmi kuuza T sheti, zenye chata la Mexicana Lacavera ambalo mwanzo wenzake walimfikisha mahakamani hapo kwa lengo la kutaka asiitumie nembo hiyo ya kundi kwa manufaa yake. |