Saturday, April 14, 2012

Kili muziki Award kuwasha moto leo Mlimani Cit

Adam mchomvu 'Baba John' mtangazaji wa Cloud Fm, akiwa katika ukumbi wa Mlimani City, katikakuangalia mazoezi ya mwisho siku ya jana jioni 'Ijumaa', wasanii na wadau ambao watakuja kufanya tamsha la Live Band katika ukumbi huo. Wasanii wantarajiwa kuimba Live, tena sio nyimbo zao pekee ila na zile za watu maarufu na zilizowahi kupendwa na wengi




Fundi mitambo wa Cloud Fm akiwa ndani ya wani jeusi, katika pozi la kipicha naye alikuwa akifuatilia kila jambo.
Hellen wa Cloud Tv, akiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi hayo


Ommy Dimpoz, Diamond na Jose Mara, wakijadili jambo wakati wakisubiri muda wao wa kupanda jukwaani katika mazoezi ya mwisho

Vifaa vilikuwa tayari kwaajili ya kupigwa na kuleta radha, safari hii Kilimanjaro hawakutaka kuchukua msanii nje wamepania kuinua vizazi vya muziki wa ndani.

Mpoki akiwa na Shilole Classic katika pozi la pamoja
Mwanamuziki Sa Raha ambaye yeye na mumewe wamepania kufanya na kuundeleza muziki wa Bongo fleva, mumewe akiwa ni Producer

Mkubwa Fella akifuatilia mambo yanavyo kwenda
Shilole Classic alianza kupiga picha za Red capert hata kabla ya kuanza kuruhusiwa

Suka bwana mipangomingi, akiwa kwenye pozi yeye alikuwa nje kidogo hakutaka kuingia ndani.

Producer kutoka Ngoma Rec, Tuddy Thomas, akiingia eneo la Tukio.

Ukumbi wenyewe ulikuwa hivi kwa mbali, karibu leo ili kila mmoja ashuhudie.... KIINGILIO KWA VIP sh 75000 hizi zinapatikana MLIMANI CITY , kwa mzunguko sh 20000 zinapatikana sehemu mbalimbali.